Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.
Kisunam
Kisunam ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi inayozungumzwa na Wasunam. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kisunam imehesabiwa kuwa watu 560. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kisunam iko katika kundi la Kibodish.