Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.
Kitoposa
Kitoposa ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan Kusini inayozungumzwa na Watoposa. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kitoposa imehesabiwa kuwa watu 100,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitoposa iko katika kundi la Kinilotiki.