Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.
Kitunen
Kitunen ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Watunen. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kitunen imehesabiwa kuwa watu 35,300. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kitunen iko katika kundi la A60.