Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.
Kiwarapu
Kiwarapu ni lugha ya Kipapua nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wawarapu. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiwarapu imehesabiwa kuwa watu 300. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiwarapu iko katika kundi la Kiskou.