Kiwejewa

Kiwejewa ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wawejewa kwenye kisiwa cha Sumba. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kiwejewa imehesabiwa kuwa watu 55,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwejewa iko katika kundi la Kisumba-Hawu.


Kiwejewa

Dodaje.pl - Ogłoszenia lokalne