Madauros (pia Madaurus, Madaura) ilikuwa mji wa Kirumi na dayosisi ya zamani ya Kanisa Katoliki katika jimbo la zamani la Numidia ambayo kwa sasa ni Algeria.