Ngoma
Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.
Ngoma
Wasukuma
wakicheza ngoma
Neno
ngoma
lina maana mbalimbali:
Ala ya muziki
inayotumika sana
barani
Afrika
Muziki
unaochezwa kwa kupiga
ala
hiyo
Muziki
wa aina yoyote
Kucheza na muziki wa ngoma
au wa aina yoyote
Katika
lugha ya mitaani
, ngoma inaweza kumaanisha
virusi vya UKIMWI
au
Ukimwi
wenyewe kutokana na
methali
ya
Kiswahili
isemayo,
Ngoma ikivuma sana, mwishowe hupasuka
Ngoma (Ukerewe)
,
kata
ya
wilaya ya Ukerewe
kwenye
mkoa wa Mwanza
(
Tanzania
).
Ngoma (Sengerema)
, kata ya
Wilaya ya Sengerema
kwenye mkoa huohuo
Wilaya ya Ngoma
katika
mkoa wa Mashariki (Rwanda)
Previous Page
Next Page
Ngoma (pagklaro)
CEB
Ngoma
German
Ngoma
English
Ngoma
ET
Ngoma
French
Ngoma
Italian
Ngoma
Polish
Нгома
Russian
Ngoma (olika betydelser)
Swedish