Njiti ni mtoto aliyezaliwa kabla ya kutimiza kawaida ya ujauzito, yaani wiki 37 kwa binadamu.[1]
Mara nyingi mtoto wa namna hiyo anazaliwa hai baada ya miezi saba ya ujauzito.
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-10-23. Iliwekwa mnamo 2018-10-25.