Norplant

Norplant ni aina ya uzazi wa mpango ambayo ilitengenezwa na Baraza la Idadi na iliidhinishwa kwa mara ya kwanza mwaka 1983 nchini Ufini ambapo ilitengenezwa na kampuni ya madawa ya Leiras Oy.

Kwa sababu Norplant na kemikali nyingine za kupanga uzazi kwa homoni, ambazo zina uwezo wa kuzuia mimba isiendelee baada ya utungisho kufanyika, hivyo zinachukuliwa kama madawa ya kuavya mimba.


Norplant

Dodaje.pl - Ogłoszenia lokalne