Riit ni jina la kisanii la Rita Claire Mike-Murphy Ni mwanamuziki na mtangazaji wa televisheni wa Inuit|Inuk kutoka Pangnirtung, Nunavut, Kanada. Anajulikana sana kama mtangazaji wa kipindi cha watoto cha Anaana's Tent kinachorushwa na Aboriginal Peoples Television Network|APTN.[1][2]