Sekardo (kwa Kiitalia: Ceccardo; alifariki Carrara, Toscana, Italia, 860 au 892) alikuwa askofu wa Luni aliyeuawa na mafundi wa kukata miamba [1].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 16 Juni[2][3].
Sekardo