Teniola Apata (anajulikana pia kama Teni; amezaliwa 23 Disemba 1993) ni mwimbaji, mtunzi wa nyimbo na mburudishaji wa Nigeria.