Waembu

Waembu ni kabila la Kibantu linalokalia tangu kale kaunti ya Embu nchini Kenya. Wanakadiriwa kuwa 324,092 [1]

Lugha mama yao ni Kiembu, mojawapo kati ya lugha za Kibantu. Wengi wao ni Wakristo.

Wana undugu wa asili na Wakikuyu, Wameru, Wambeere na Wakamba.

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-02-02. Iliwekwa mnamo 2019-02-20. {{cite web}}: Unknown parameter |= ignored (help)

Waembu

Dodaje.pl - Ogłoszenia lokalne