Waembu ni kabila la Kibantu linalokalia tangu kale kaunti ya Embu nchini Kenya. Wanakadiriwa kuwa 324,092 [1]
Lugha mama yao ni Kiembu, mojawapo kati ya lugha za Kibantu. Wengi wao ni Wakristo.
Wana undugu wa asili na Wakikuyu, Wameru, Wambeere na Wakamba.
{{cite web}}
: Unknown parameter |=
ignored (help)