Waik

Kijiji cha Waik mwaka 2005.

Waik ni kabila la watu linaloishi katika milima ya kaskazini mashariki mwa Uganda, mpakani mwa Kenya.

Lugha yao, Kiik, ndiyo iliyo hai zaidi kati ya lugha za Kikuliak, tawi la lugha za Kinilo-Sahara.

Wanakadiriwa kuwa 10,000.


Waik

Dodaje.pl - Ogłoszenia lokalne