Walogo (pia: Walogoa) ni kabila la Waniloti wanaoishi kaskazini-mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo[1][2], magharibi mwa Uganda na kusini mwa Sudan Kusini. Walikimbilia huko kutoka Sudan.
Lugha yao, Kilogo au Kilogoti, ni ya kundi la lugha za Kinilo-Sahara[3].
Wanakadiriwa kuwa zaidi ya 300,000.
{{cite encyclopedia}}
: CS1 maint: multiple names: editors list (link)
{{cite encyclopedia}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)