Wapokomo ni kabila la watu wa jamii ya Wabantu wanaoishi kusini mashariki mwa Kenya, katika kaunti ya Tana River.
Lugha yao ni Kipokomo, mojawapo kati ya lugha za Kibantu ambayo inafanana na Kiswahili.
Wengi wao ni Waislamu na Wakristo.
Wapokomo