Abruzzo ni mkoa wa Italia. Uko sehemu ya kati ya rasi ya Italia, upande wa mashariki.
Mji mkuu wake ni L'Aquila.