Adama | |
Mahali pa mji wa Adama katika Ethiopia |
|
Majiranukta: 8°32′0″N 39°16′0″E / 8.53333°N 39.26667°E | |
Nchi | Ethiopia |
---|---|
Mkoa | Oromia |
Wilaya | Misraq Shewa |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 338,940 |
Adama (pia: Nazret au Nazreth; kwa Kiamhara: ናዝሬት nāzrēt; kwa Kioromo: Adaamaa au Hadaamaa; kwa Ge'ez ኣዳማ ādāmā) ni makao makuu ya Jimbo la Oromia nchini Ethiopia.