Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.
Air Seychelles
Air Seychelles ni kampuni ya ndege ya nchi ya Seychelles yenye makao yake mjini Mahé]].[1]
Tangu 2012 asilimia 40 za hisa zake ziko mkononi mwa Etihad Airlines ya Abu Dhabi.