Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Akwa Ibom (jimbo)

Utamaduni wa ngoma za Akwa Ibom, Nigeria
Mahali pa Akwa Ibom katika Nigeria

Akwa Ibom ni jimbo la kujitawala la Nigeria lenye eneo la 7,081 km² na wakazi milioni 4,8 (2005). Mji mkuu ni Uyo na mji mkubwa jimboni ni Ikot Ekpene mwenye wakazi 254,821 (2005).

Akwa Ibom iko katika kusini ya Nigeria kwenye mwambao wa ghuba ya Guinea ikipakana na majimbo ya Abia, Rivers na Cross River.

Jimbo lilianzishwa kutokana na sehemu za eneo la jimbo la Cross River mwaka 1987.


 
Majimbo ya Nigeria
Abia | Abuja Federal Capital Territory | Adamawa | Akwa Ibom | Anambra | Bauchi | Bayelsa | Benue | Borno | Cross River | Delta | Ebonyi | Edo | Ekiti | Enugu | Gombe | Imo | Jigawa | Kaduna | Kano | Katsina | Kebbi | Kogi | Kwara | Lagos | Nasarawa | Niger | Ogun | Ondo | Osun | Oyo | Plateau | Rivers | Sokoto | Taraba | Yobe | Zamfara
Makala hii kuhusu maeneo ya Nigeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Akwa Ibom (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Previous Page Next Page






Akwa Ibom ANN ولاية اكوا ايبوم Arabic Akva İbom ştatı AZ Аква-Ібом BE Аква Ибом Bulgarian Akwa Ibom Catalan Akwa Ibom State CEB Akwa Ibom Danish Akwa Ibom German Akwa Ibom State English

Responsive image

Responsive image