Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Aljeria | |
---|---|
الجمهورية الجزائرية الديمقراطية الشعبية (Kiarabu) al-Jumhūriyah al-Jazāʾiriyah ad-Dīmuqrāṭiyah ash‑Shaʿbiyah | |
Kaulimbiu ya taifa: بِالشَّعْبِ و لِلشَّعْبِ "Biš-šaʿb wa liš-šaʿb" "Na watu, kwa watu" | |
Wimbo wa taifa: قَسَمًا Kasaman "Tunaapa" | |
Mahali pa Aljeria | |
Ramani ya Aljeria | |
Mji mkuu na mkubwa nchini | Aljeri |
Lugha rasmi | Kiarabu Kiberberi |
Makabila (asilimia) | 85 Waarabu 15 Waberberi |
Dini (asilimia) | 99 Wasuni (rasmi) |
Serikali | Jamhuri |
• Rais • Waziri Mkuu • Rais wa Baraza • Rais wa Bunge | Abdelmadjid Tebboune Nadir Larbaoui Salah Goudjil Ibrahim Boughali |
Idadi ya watu | |
• Kadirio la 2023 | 44 758 398[1] |
Pato la taifa | Kadirio la 2023 |
• Jumla | USD bilioni 224.107[2] |
• Kwa kila mtu | USD 4 874[2] |
Pato halisi la taifa | Kadirio la 2023 |
• Jumla | USD bilioni 628.990[2] |
• Kwa kila mtu | USD 13 681[2] |
Maendeleo (2021) | 0.745[3] - juu |
Sarafu | Dinari ya Aljeria |
Majira ya saa | UTC+1 |
Muundo wa tarehe | siku/mwezi/mwaka |
Upande wa magari | Kulia |
Msimbo wa simu | +213 |
Msimbo wa ISO 3166 | DZ |
Jina la kikoa | .dz |
Aljeria ni nchi ya Afrika ya Kaskazini-Magharibi. Imepakana na bahari ya Mediteranea, Moroko, Sahara ya Magharibi, Mauretania, Mali, Niger, Libya na Tunisia. Aljeria ni nchi kubwa kuliko zote za Afrika lakini sehemu kubwa ya eneo lake iko katika jangwa la Sahara.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) (Archived 2023 edition)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)