Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Antili Kubwa

Visiwa vya Antili Kubwa katika Bahari ya Karibi (Amerika ya Kati)

Antili Kubwa ni visiwa katika Bahari ya Karibi. Pamoja na Antili Ndogo, Visiwa vya Turks na Caicos na Bahamas vinaunda visiwa vya Karibi.

Antili Kubwa ni hasa visiwa vinne vikubwa vifuatavyo pamoja na visiwa vingi vidogo.


Previous Page Next Page