Askari ni mtu ambaye anahusika na mambo ya ulinzi na usalama katika nchi, pia hufanya kazi hiyo kama sehemu ya jeshi.
Askari anaweza kuwa mtu aliyechaguliwa, afisa asiyeagizwa, au afisa wa jeshi.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Askari kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |