| |||||
Kaulimbiu ya taifa: -- | |||||
Wimbo wa taifa: “'Land der Berge, Land am Strome“ (Kijerumani kwa "Nchi ya milima, nchi ya mtoni") | |||||
Mji mkuu | Vienna | ||||
Mji mkubwa nchini | Vienna | ||||
Lugha rasmi | Kijerumani 1 | ||||
Serikali | Jamhuri Alexander Van der Bellen Karl Nehammer | ||||
Uhuru Mkataba kuhusu Austria ulianza Tangazo la baki |
27 Julai 1955 26 Oktoba 1955 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
83,871 km² (ya 115) 1.3 | ||||
Idadi ya watu - 2022 kadirio - 2021 sensa - Msongamano wa watu |
9,027,999 (ya 98) 8,932,664 107.6/km² (ya 106) | ||||
Fedha | Euro (€) 2 (EUR )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
CET (UTC+1) CEST (UTC+2) | ||||
Intaneti TLD | .at 3 | ||||
Kodi ya simu | +43
| ||||
1 Kislovenia, Kikroatia, Kihungaria ni lugha rasmi kieneo. 2 Kabla ya 1999: Shilingi ya Austria. |
Austria (kwa Kijerumani: Österreich) ni nchi ya Ulaya ya Kati. Imepakana na Ujerumani, Ucheki, Slovakia, Hungaria, Slovenia, Italia, Uswisi na Liechtenstein.