Spishi 2:
Baisani (kutoka Kiing.: bison, Kisayansi: Bison) ni jenasi ya wanyama wakubwa wa Amerika na Ulaya wanaofanana na ng'ombe.