| |||||
Kaulimbiu ya taifa: | |||||
Wimbo wa taifa: Amar Shonar Bangla "Bengali yangu ya dhahabu" | |||||
Mji mkuu | Dhaka | ||||
Mji mkubwa nchini | Dhaka | ||||
Lugha rasmi | Kibengali (Bangla) | ||||
Serikali | Jamhuri Abdul Hamid Hasina Wazed | ||||
Uhuru Ilitangazwa Siku ya Ushindi |
26 Machi 1971 16 Desemba 1971 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
147,570 km² (ya 94) 6.4 | ||||
Idadi ya watu - 2013 kadirio - 2001 sensa - Msongamano wa watu |
156,594,962 (ya 8) 129,247,233 1,033.5[1]/km² (ya 12) | ||||
Fedha | Taka (BDT )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
BDT (UTC+6) not observed (UTC+6) | ||||
Intaneti TLD | .bd | ||||
Kodi ya simu | +880 - SubCodes
- |
Bangladesh (pia: Bangladesh; kwa Kibengali: বাংলাদেশ, bāṃlādeś) ni nchi ya Asia ya Kusini.
Imepakana na Uhindi pande zote barani isipokuwa mpaka mfupi wa km 193 na Myanmar upande wa kusini-mashariki na pwani ya Ghuba ya Bengali.