Benjamin Harrison (20 Agosti 1833 – 13 Machi 1901) alikuwa Rais wa 23 wa Marekani kuanzia mwaka wa 1889 hadi 1893. Kaimu Rais wake alikuwa Levi Parsons Morton.