Berea (leo Veria au Veroia) ni mji wa kale wa huko Masedonia (Ugiriki Kaskazini).
Katika Agano Jipya tunasoma Mtume Paulo pamoja na Sila na Timotheo walivyofanya uinjilishaji huko baada ya kutokea Thesalonike mwaka 50 BK (Mdo 17).