Bronzi (pia: shaba nyeusi[1]) ni aloi ya metali. Kiasi kikubwa ndani yake ni shaba (70-90%) na metali nyingine ndani yake ni stani (takriban 10-30%).
- ↑ Bronzi ni msamiati wa KAST, pia ya BAKITA (Kamusi ya Istilahi za Sayansi na Tekinolojia 1992); Shaba nyeusi wa Tataki