| |||||
Kaulimbiu ya taifa: "Daima katika utumishi kwa msaada wa Mungu" (translation) | |||||
Wimbo wa taifa: Allah Peliharakan Sultan "Mungu ambariki Sultani" | |||||
Mji mkuu | Bandar Seri Begawan | ||||
Mji mkubwa nchini | Bandar Seri Begawan | ||||
Lugha rasmi | Kimalay na Kiingereza | ||||
Serikali | Ufalme Hassanal Bolkiah | ||||
Uhuru kutoka Uingereza Mwisho wa hali ya nchi lindwa |
1 Januari 1984 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
5,765 km² (ya 170) 8.6 | ||||
Idadi ya watu - 2018 kadirio - 2001 sensa - Msongamano wa watu |
442,400 (ya 168) 332,844 72.11/km² (ya 134) | ||||
Fedha | Brunei ringgit (BND )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC+8) (UTC) | ||||
Intaneti TLD | .bn | ||||
Kodi ya simu | +6731
- | ||||
1 Also 080 from Malaysia. |
Brunei (jina rasmi niː برني دار السلام , Negara Brunei Darussalaam, yaaniː Taifa la Brunei, Nyumba ya Amani) ni usultani mdogo na nchi huru kaskazini mwa kisiwa cha Borneo huko Asia ya Kusini-Mashariki.
Imepakana na majimbo ya Sarawak na Sabah ya Malaysia tu, ingawa sehemu kubwa ya kisiwa hicho inatawaliwa na Indonesia.
Mji mkuu ni Bandar Seri Begawan.
Mtawala wa nchi ni sultani Hassan al-Bolkiah. Anasemekana kuwa kati ya watu tajiri zaidi duniani kutokana na mapato ya mafuta ya petroli.