Bunge la Kenya ni bunge lenye vyumba viwili[1] ambavyo ni:
Kabla ya katiba mpya, bunge lilikuwa la chumba kimoja.
Bunge hili lilianzia muhula wake wa kumi na tatu tarehe 8 Septemba 2022.
Wajumbe hukutana katika majengo ya bunge, Nairobi.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)