Burundi Bwacu" (Matamshi ya Kirundi: [buɾúːndi bɡát͡ʃu]; "Burundi yetu") ni wimbo wa taifa wa Burundi. Umeandikwa kwa lugha ya Kirundi na kikundi cha waandishi wakiongozwa na Jean-Baptiste Ntahokaja, padri wa Kikatoliki, na kutungwa na Marc Barengayabo, ilipitishwa wakati wa uhuru mnamo 1962.[1][2]