Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


California

California
Jimbo
Kauli Mbiu
"Eureka"
Ramani ya
Ramani ya
Eneo la California katika Marekani
Nchi Marekani
Mwaka wa Kujiunga Septemba 9, 1850; 174 (31st) (Miaka 175 iliyopita)
Mji/Makao makuu Sacramento
Jiji kubwa Los Angeles
Lugha rasmi Kiingereza
Lugha zinazozungumzwa 56.8% Kiingereza
28.18% Kihispania
Utaifa Mkalifornia Californian (en)
Serikali
Gavana Gavin Newsom
Naibu gavana Eleni Kounalakis (D)
Ukubwa wa eneo
Jumla 423970 km²
Ardhi 403466 km²
Maji 20504 (4.84%)
Msongamano auto /km²
Idadi ya Watu
Mwaka wa Makisio
Idadi ya watu (makisio) increase 39,512,223
Pato la Taifa
Mwaka wa Makisio 2024
Jumla increase $4.08 trilioni (ya 1)
Capita increase $93,460
Kiashiria cha Maendeleo ya Watu (2018) 0.935 (ya 15)
Maendeleo ya Juu Sana
Mapato ya Kati ya Kaya (2023) $95,500 ()
Eneo la saa UTC-8 (PST), UTC-7 (PDT)
Tovuti 🔗www.ca.gov


California (/ˌkælɪˈfɔːrnjə/) ni jimbo katika Mkoa wa Magharibi wa Marekani linalopatikana kwenye Pwani ya Pasifiki. Linapakana na Oregon upande wa kaskazini, Nevada na Arizona upande wa mashariki, na linashiriki mpaka wa kimataifa na imbo la Mexico la Baja California upande wa kusini. Pamoja na zaidi ya watu milioni 39 wanaoishi kwenye eneo la maili za mraba 163,696 (km² 423,970), ni jimbo lenye idadi kubwa zaidi ya watu Marekani, la tatu kwa ukubwa kwa eneo, na kitengo cha idadi ya watu kikubwa zaidi kisichokuwa cha taifa barani Amerika Kaskazini.


Wakazi wamekadiriwa kuwa 39,512,223 mwaka 2019.

California ni kati ya majimbo ya Marekani yenye uwezo mkubwa wa kiuchumi. Kama California ingekuwa nchi huru ya kujitegemea uchumi wake ungekuwa na nafasi ya 8 duniani. Utalii, kilimo na viwanda vya ndege huajiri watu wengi. Kampuni za kompyuta zimestawi vizuri sana California, kwa mfano Microsoft. Los Angeles, hasa eneo la Hollywood, ni kitovu cha kupiga picha za filamu.

Mji mkuu ni Sacramento. Kuna miji 59 yenye wakazi zaidi ya lakhi moja:

Mji Wakazi
1 Los Angeles 3.957.875
2 San Diego 1.305.736
3 San Jose 944.857
4 San Francisco 799.263
5 Fresno 500,017
6 Long Beach 491.564
7 Sacramento 452.959
8 Oakland 412.318
9 Santa Ana 351.697
10 Anaheim 345.317
Hifadhi ya Redwood
Mlima Shasta
Yosemite National Park

Previous Page Next Page






Kalifornië AF Kalifornien ALS ካሊፎርኒያ AM California AN California ANG كاليفورنيا Arabic ܟܐܠܦܘܪܢܝܐ ARC كاليفورنيا ARY كاليفورنيا ARZ California AST

Responsive image

Responsive image