Chama cha Jubilee cha Kenya ni chama cha kisiasa katika Jamhuri ya Kenya. Kilianzishwa mnamo 8 Septemba 2016, kufuatia kuunganishwa kwa vyama 11 vidogo.
Wakati wa uchaguzi wa 2017, Chama cha Jubilee kilipata viti vingi katika Bunge la Kenya na kiongozi wa chama hicho, Uhuru Kenyatta, alichaguliwa tena kuwa rais.
Tangu Januari 2019, chama hicho kimeonyesha dalili za kufarakana.
Jina kamili | Jubilee party |
---|---|
Jina la utani | - |
Imeanzishwa | Machi 10, 2017 |
Mmiliki | Uhuru Kenyatta |
Mwenyekiti | David Murathe |