Chuo Kikuu cha London ni chuo kikuu nchini Ufalme wa Muungano, kilichoanzishwa mnamo mwaka 1836 jijini London, Uingereza.