Dadaab ni mji wa Kenya ambao wakazi wake wengi ni wakimbizi. Unaunda kata ya kaunti ya Garissa, eneo bunge la Dadaab[1].