Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Darfur

Majimbo matatu ya Darfur ndani ya Sudan.

Darfur (yaani "Eneo la Wafur") ni eneo la magharibi nchini Sudan.

Kati ya miaka 1640 na 1874 ilikuwa usultani huru hadi ikavamiwa na jeshi la Misri na kufanywa jimbo la Misri na baadaye, kutokana na vita ya Mahdi, imekuwa sehemu ya Sudan.

Leo hii Darfur imegawanywa katika majimbo matatu ya shirikisho: Darfur Magharibi, Darfur Kusini na Darfur Kaskazini ambazo zimepangwa kwa uratibu na Mamlaka ya Mpito wa Mkoa wa Darfur.

Kwa sababu ya vita katika Darfur, eneo hili limekuwa katika hali ya dharura tangu mwaka wa 2003.


Previous Page Next Page






Darfoer AF دارفور Arabic دارفور ARZ Darfur AST Darfur regionu AZ Дарфур BE Дарфур Bulgarian দারফুর Bengali/Bangla Darfur BS Darfur Catalan

Responsive image

Responsive image