Jimbo la Delta (Nigeria) | ||
Mahali | ||
---|---|---|
Faili:Nigeria-jimbo delta.png | ||
Takwimu | ||
Gavana | Emmanuel Uduaghan (PDP) | |
Kuundwa | 27 Agosti 1991 | |
Mji Mkuu | Asaba | |
Eneo | 17,698 km² | |
Wakazi 1991 Sensa 2005 |
NAfasi ya 9 kati ya majimbo ya Nageria 2,570,181 4,710,214 | |
ISO 3166-2 | NG-DE |
Jimbo la Delta ni jimbo la Nigeria kusini. Iko kwenye eneo la delta ya mto Niger. 1991 ilianzishwa kutokana na jimbo la awali la Bendel. Mji mkuu ni Asaba lakini mji mkubwa jimboni ni Warri.
Delta ni eneo lenye mafuta ya petroli lakini utajiri wake haujafika kwa wananchi bali mapato ya mafuta yalitumiwa hasa na serikali kuu kwa mambo ya kitaifa na pia ufisafi.
Hivyo Delta ya mto Niger imeona umgomvi mwingi kwa sababu wenyeji hawaridhiki tena.