Jiji la Denver | |||
| |||
Mahali pa mji wa Denver katika Marekani |
|||
Majiranukta: 39°44′21″N 104°59′05″W / 39.73917°N 104.98472°W | |||
Nchi | Marekani | ||
---|---|---|---|
Jimbo | Colorado | ||
Wilaya | Denver | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 598,707 | ||
Tovuti: www.DenverGov.org |
Denver ndiyo mji mkuu katika jimbo la Colorado. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2008, mji una wakazi wapatao milioni 2.5 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 1609 kutoka juu ya usawa wa bahari.