Dhaulagiri ni mlima mrefu, wenye kimo cha m 8,167 juu ya usawa wa bahari. Ni sehemu ya safu ya milima ya Himalaya.
Kilele chake kipo katika nchi ya Nepal.