Dk. Omar Ali Juma (26 Juni 1941 – 4 Julai 2001) alikuwa Makamu wa Rais wa serikali ya awamu ya tatu nchini Tanzania, iliyokuwa inaongozwa na Rais Benjamin William Mkapa.