Douglas (Kimanx: Doolish) ni mji mkuu wa Isle of Man. Kuna wakazi 25.422 ambao ni takriban theluthi moja ya wakazi wote wa kisiwa.
Mji uko upande wa mashariki wa Man na tangu 1863 umekuwa mji mkuu. Umejengwa kando la bandari asilia.
Msingi wa uchumi ni utalii.
Jina la Douglass limetokana na miti ya Dhoo na Glass inayoishia hapa baharini.