Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.
Elimu nchini Tanzania
Mwalimu akifundisha darasani
Elimu nchini Tanzania hutolewa na sekta zote mbili, yaani, sekta za serikali na binafsi. Muundo wake kiujumla ni kama ifuatavyo:[1]
Miaka 2 elimu ya vidudu/cheke-chea hutolewa kwa wanafunzi wenye umri kati ya miaka 5–6 (miaka 2), lakini hii watoto sehemu kubwa wanaanza wakiwa na umri wa miaka 3, ili kuwa na mazoea ya shule.
Miaka 7 elimu ya msingi ambayo hutolewa kwa watoto walio na umri wa miaka 7–13 (Darasa la I-VII)
Miaka 4 elimu ya sekondari hutolewa kati ya umri wa miaka 14–17 (Fomu 1-4)
Miaka 2 elimu ya juu ya sekondari hutolewa kati ya umri wa miaka 18–19 (Fom 5 na 6)