Maeneo ya ng'ambo ya Marekani ni visiwa na funguvisiwa vifuatavyo vinavyoorodheshwa hapa kufuatana na mahali pao ama katika Bahari ya Pasifiki au katika Bahari ya Karibi.
Sheria za Marekani zinaita visiwa hivi "Eneo la visiwani" (king.: "Insular areas"). Hii ni kila eneo chini ya mamlaka ya serikali ya Marekani lisilo sehemu ya majimbo 50 ya Marekani au mkoa wa mji mkuu.