Franklin D. Roosevelt | |
Picha ilichukuliwa na Leon A. Perski, mnamo 1944 | |
Muda wa Utawala Machi 4, 1933 – Aprili 12, 1945 | |
Makamu wa Rais | John N. Garner (1933–1941) Henry A. Wallace (1941–1945) Harry S. Truman (1945) |
mtangulizi | Herbert Hoover |
aliyemfuata | Harry S. Truman |
tarehe ya kuzaliwa | Hyde Park, New York, Marekani. | Januari 30, 1882
tarehe ya kufa | 12 Aprili 1945 (umri 63) Warm Springs, Georgia, Marekani. |
mahali pa kuzikiwa | Home of Franklin D. Roosevelt National Historic Site, Hyde Park, New York |
chama | Democratic |
ndoa | Eleanor Roosevelt (m. 1905) |
watoto |
|
Franklin Delano Roosevelt (30 Januari 1882 – 12 Aprili 1945) alikuwa Rais wa 32 wa Marekani kuanzia mwaka wa 1933 hadi 1945. Kaimu Rais wake alikuwa John N. Garner (1933-41), halafu Henry A. Wallace (1941-45), na hatimaye Harry S. Truman aliyemfuata kama Rais, Roosevelt alipofariki katika awamo yake ya nne.