Gavana (kutoka Kiingereza governor yaani "mwenye kutawala"") ni cheo cha kiongozi wa kisiasa au wa kiutawala kwenye ngazi mbalimbali.