George Saitoti
Prof George Kinuthia Saitoti (3 Agosti 1945[1] - 10 Juni 2012) alikuwa mwanahisabati na mwanasiasa wa Kenya. Aliwahi kuwa Makamu wa Rais na alifariki akiwa Waziri wa Usalama wa Ndani.
- ↑ "Kenya's security minister, Prof. Saitoti confirmed dead". New Vision. 25 Juni 2012. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-06-15. Iliwekwa mnamo 25 Juni 2012. CS1 maint: date and year (link)