| |||||
Kaulimbiu ya taifa: Kihispania: El País de la Eterna Primavera (maana yake: "Nchi ya Kivuli cha Milele") | |||||
Wimbo wa taifa: Himno Nacional de Guatemala | |||||
Mji mkuu | Guatemala City | ||||
Mji mkubwa nchini | Guatemala City | ||||
Lugha rasmi | Kihispania (rasmi) (lugha za asili 23 zimetambuliwa rasmi lakini mambo yote huendeshwa kwa Kihispania) | ||||
Serikali | Jamhuri ya kirais Bernardo Arévalo | ||||
Uhuru Tarehe |
Kutoka Hispania 15 Septemba 1821 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
108,890 km² (106th) 0.4 | ||||
Idadi ya watu - Julai 2023 kadirio - Msongamano wa watu |
18,917, 714[1] (69th) 173,7/km² () | ||||
Fedha | Quetzal (GTQ )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC-6) (UTC) | ||||
Intaneti TLD | .gt | ||||
Kodi ya simu | +502
- |
Guatemala (pia Gwatemala; kutoka lugha ya Kinahuatl Cuauhtēmallān, "kwenye miti mingi") ni nchi ya Amerika ya Kati. Inapakana na Bahari ya Pasifiki upande wa Magharibi, na Atlantiki upande wa Mashariki, tena na nchi za Mexiko, Belize, Honduras na El Salvador.
Eneo lake ni km2 108,889 ambamo wanaishi watu 17,980,803 (2023).
{{cite web}}
: Missing or empty |title=
(help); Unknown parameter |autor=
ignored (|author=
suggested) (help)