| |||||
Kaulimbiu ya taifa: One people, one nation, one destiny "Umma moja, taifa moja, mwelekeo wetu" | |||||
Wimbo wa taifa: Dear Land of Guyana, of Rivers and Plains | |||||
Mji mkuu | Georgetown | ||||
Mji mkubwa nchini | Georgetown | ||||
Lugha rasmi | Kiingereza | ||||
Serikali | Jamhuri Irfaan Ali Mark Phillips | ||||
Uhuru Kutoka Uingereza Jamhuri |
26 Mei 1966 23 Februari 1970 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
214,970 km² (ya 85) 8.4 | ||||
Idadi ya watu - 2014 kadirio - 2012 sensa - Msongamano wa watu |
735,554 (ya 165) 747,884 3.5/km² (ya 232) | ||||
Fedha | dollar ya Guyana (GYD )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC-4) (UTC) | ||||
Intaneti TLD | .gy | ||||
Kodi ya simu | +592
- |
--Kwa mkoa wa jirani wa Ufaransa angalia makala Guyani ya Kifaransa--
Guyana ni nchi huru katika Amerika Kusini. Imepakana na Suriname upande wa mashariki, na Brazil upande wa kusini na kusini-magharibi halafu na Venezuela upande wa magharibi.
Ni nchi ndogo ya tatu barani.
Mji mkuu ni Georgetown.